Nenda kwenye Adsense dashboard yako halafu settings>account>policy center angalia Adsense wameandika nini (sababu ya kukulimit) ukishindwa kuelewa niulize ntakuelewesha.
Sishauri ufungue account nyingine sababu adsense kwa sasa ni only one account per user so ukifungua nyingine watakukatalia kwa kukwambia you have an exsting account.
Zamani Adsense walikuwa wanalimit idad ya matangazo kwenye site ila sasa hivi hawana limit, unaweza kuweka mengi uwezavyo ila yasizid contents zako. Kwahio kupunguza idadi ya mtangazo haitakusaidia kuondolewa limit.
Mara nyingi limit inatokana na invalid clicks or traffic concern. Kwa sasa site yako ipo chini ya uangalizi, kam visababishi vya limit vitaacha basi matngazo yatarud automatically, kam vitaendela bas utapigwa ban na huna chakuwafanya.
Fanya kama nilivyokuelekeza hapo juu, ukishajua sababu kama ni traffic bas itabid uache kushare na uanze kufocus kwenye SEO ili upate organic traffic.
Kwa msaada zaid karibu