Mzambuli911
Member
- Aug 25, 2020
- 15
- 15
MH Mimi nilishapigwa banned kabisa nilijoin afadhali utafute email nyingine ujisajili upya google wakikupiga ndo wamemalizaMkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense accounts yangu yenye website ambayo IPO hosted na blogger msaada wako tafadhali namna ya kufix hii ishu matangazo.
Yaendelee kudisplay.
Fungua account mpyaMkuu nafanyaje sasa ili yarudi
Mimi nilishaipataga iyo ishu na nikaka miezi miwili ndio wamenifungulia nilikuwa nimeweka ad nyingi katk site yangu kitu ambacho nilichofanya nikapunguza ad zote nilizoweka Kisha nikawasubilia muda wa miezi miwili ndio wamekuja kunifunguliaMkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense accounts yangu yenye website ambayo IPO hosted na blogger msaada wako tafadhali namna ya kufix hii ishu matangazo.
Yaendelee kudisplay.
Vipi ulishasolve tatizo?Habari wanajF,
Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo.
Nahitaji matangazo yaendelee kudisplay.
Asante
" na huna chakuwafanya" [emoji1783][emoji1783][emoji1783] Ila ban isikie kwa jiraniNenda kwenye Adsense dashboard yako halafu settings>account>policy center angalia Adsense wameandika nini (sababu ya kukulimit) ukishindwa kuelewa niulize ntakuelewesha.
Sishauri ufungue account nyingine sababu adsense kwa sasa ni only one account per user so ukifungua nyingine watakukatalia kwa kukwambia you have an exsting account.
Zamani Adsense walikuwa wanalimit idad ya matangazo kwenye site ila sasa hivi hawana limit, unaweza kuweka mengi uwezavyo ila yasizid contents zako. Kwahio kupunguza idadi ya mtangazo haitakusaidia kuondolewa limit.
Mara nyingi limit inatokana na invalid clicks or traffic concern. Kwa sasa site yako ipo chini ya uangalizi, kam visababishi vya limit vitaacha basi matngazo yatarud automatically, kam vitaendela bas utapigwa ban na huna chakuwafanya.
Fanya kama nilivyokuelekeza hapo juu, ukishajua sababu kama ni traffic bas itabid uache kushare na uanze kufocus kwenye SEO ili upate organic traffic.
Kwa msaada zaid karibu
Kwa msahada njoo Whatsapp 0756855563Habari wanajF,
Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo.
Nahitaji matangazo yaendelee kudisplay.
Asante
Kwa msaada njoo WhatsappHabari wanajF,
Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo.
Nahitaji matangazo yaendelee kudisplay.
Asante