Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
- Thread starter
-
- #21
Trust me hupigwi, mzigo utafika tu..huu ni mzigo wangu nishaupokea tayari ila chek hapo warehouse ulivyokaa mda mrefu..na hapo ndo panapocheleweshaView attachment 1685353
umenipa moyo bro ngoja niendelee kuvumilia tu wenda MUNGU akatia mkono wake ikaja.Trust me hupigwi, mzigo utafika tu..huu ni mzigo wangu nishaupokea tayari ila chek hapo warehouse ulivyokaa mda mrefu..na hapo ndo panapocheleweshaView attachment 1685353
mkuu vipi mzigo umeshaongeza hatua yoyoteSasa hapo warehouse ya china inaweza piga zaid ya week 4,ndo mzigo uingie kwenye ndege utumwe,,na mi mzigo wangu pia umekwama hapo siku ya 7 hii
Siku ya 15 hii bado ume stuck pale pale. Ila ukitoka hapa basi kazi imeisha tuendelee kuwa wavumilivu mkuu, nyama zipo chinimkuu vipi mzigo umeshaongeza hatua yoyote
du mi mwezi na nusu now hakunadalili yaniiSiku ya 15 hii bado ume stuck pale pale. Ila ukitoka hapa basi kazi imeisha tuendelee kuwa wavumilivu mkuu, nyama zipo chiniView attachment 1692465
Kikuu wana device za bei nafuu sana kuliko ali express na gearbest cha msingi aangalie shipping time tu labda ilikua zaidi ya mweziBroo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana
Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
Ungechek shipping time yao, ila tangu december vitu vimeanza chelewa sana kufika.du mi mwezi na nusu now hakunadalili yanii
review iko gud ndo maana nlishawishika hapa hofu ya kupigwa ndo imetawala. Make kuna jamaa nlimuagizia tar 9 mwez huu ila alipata jana mzigo yeyeUngechek shipping time yao, ila tangu december vitu vimeanza chelewa sana kufika.
Kuna wengine huwa wanangonga hadi three month sometimes..
Mimi huu mzigo nilinunua tarehe 16 jan ila waliandika hadi 21-24 Feb ndo nitegemee kuupata..kwahiyo bado nipo kwenye time line yao.
Jaribu pia kuchek review ya walionunua hapo delivery yao comments wanasemaje
Aliexpress naona masharti yao ya malipo ni magumu. Kikuu ukiwa na tiGOPESA tu, inatosha.Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana
Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
sema ujinga ndo kama huo mzigo una miezi uko china na ku cancel order hawataki yani dalili za upigaji hizi.Aliexpress naona masharti yao ya malipo ni magumu. Kikuu ukiwa na tiGOPESA tu, inatosha.
kwa hao hao kikuu au mtandao mwingine mkuuMwezi mmjoa tu na kitu inahisi kupigwa sizani kama utaweza biashara za mtandao mkuu, jamaa yangu mzigo wake umefika leo baada ya miezo 2+ nilimwambia atulie kuna mambo mengi yanayosababisha mzigo kuchelewa
du msala ni pale mkuu mwingine anaagiza baada yako anapatiwa we bado umesugua tuMnaoagiza mizigo kipindi hiki cha Covid muwe wavumilivu kweli, kwa maana mizigo mingi huwa inachelewa kusafirishwa kutokana na maukaguzi mengi, mara kupulizwa dawa. Yaani kama walikwambia utafika baada ya wiki2 usishangae ukafika baada ya mwezi.
mkuu na wewe ilikua kikuu? make mi mzigo umegandia guangzhou warehouse china kwenye store zao! sijui umepoteleamoKawaida tu Mimi miezi 2 nimeipata
Inatokea sana hiyoNdugu zangu mlowai nunua simu kikuu mnipe uzoefu, mi niliweka order tar 21 december 2020, lakini hadi leo karibia mwezi mzima lakini mzigo bado uko warehouse.
du mbona hatariUmeshikwa na corona huo