M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 702 Apr 24, 2010 #1 Ninatatizo la kusikia kelele kama muungurumo ktk sikio la kulia sasa sijui ni kitu gani, hali hii ina kama siku 3 mfululizo. Hapa nilipo kidogo kuna joto kali (33 - 39 deg. Centigrade). Naomba ushauri wa kitaalamu. Asante
Ninatatizo la kusikia kelele kama muungurumo ktk sikio la kulia sasa sijui ni kitu gani, hali hii ina kama siku 3 mfululizo. Hapa nilipo kidogo kuna joto kali (33 - 39 deg. Centigrade). Naomba ushauri wa kitaalamu. Asante
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,387 Reaction score 2,245 Apr 24, 2010 #2 Muone ENT specialist akupime, huenda pia ni ear wax imeeyuka kwa ajiri ya joto na ukiweka Cerumol ear drop inaweza saidia kama tatizo ni hilo
Muone ENT specialist akupime, huenda pia ni ear wax imeeyuka kwa ajiri ya joto na ukiweka Cerumol ear drop inaweza saidia kama tatizo ni hilo