Ben bizzoh Senior Member Joined Dec 28, 2013 Posts 121 Reaction score 5 Mar 13, 2014 #1 Mimi ni mwanafunzi mwenye matarajio ya kusomea architecture mda si mrefu Tafadhali naomba mchango wenu wakuu ..kiroho safi 2
Mimi ni mwanafunzi mwenye matarajio ya kusomea architecture mda si mrefu Tafadhali naomba mchango wenu wakuu ..kiroho safi 2
Mshinga JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 3,532 Reaction score 1,126 Mar 13, 2014 #2 taifa linaangamia, ajira hakuna, kila mtu anahitaji kazi, hata wa kuzalisha na kutengeneza kazi wanatafuta kazi, nani atengeneze ajira? kama mainjinia wenye dhamana ya kutengeneza ajira nao wanalalamika kuwa hawana ajira
taifa linaangamia, ajira hakuna, kila mtu anahitaji kazi, hata wa kuzalisha na kutengeneza kazi wanatafuta kazi, nani atengeneze ajira? kama mainjinia wenye dhamana ya kutengeneza ajira nao wanalalamika kuwa hawana ajira