wakuu msaada tafadhali.

wakuu msaada tafadhali.

J.lee

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,672
Reaction score
834
samahani kuna mdogo angu anataka kusoma HIV counseling and guidance kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu soko lake la ajira na mengineyo tafadhali msaada.
 
Soko lake ni zuri. Kumbuka tu kwamba si lazima aajiriwe akishasoma anajiajili. Akiwa msichana itapendeza sana kwa course hiyo. OveR
 
Back
Top Bottom