J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Mar 12, 2014 #1 samahani kuna mdogo angu anataka kusoma HIV counseling and guidance kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu soko lake la ajira na mengineyo tafadhali msaada.
samahani kuna mdogo angu anataka kusoma HIV counseling and guidance kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu soko lake la ajira na mengineyo tafadhali msaada.
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,165 Reaction score 1,906 Mar 12, 2014 #2 Soko lake ni zuri. Kumbuka tu kwamba si lazima aajiriwe akishasoma anajiajili. Akiwa msichana itapendeza sana kwa course hiyo. OveR
Soko lake ni zuri. Kumbuka tu kwamba si lazima aajiriwe akishasoma anajiajili. Akiwa msichana itapendeza sana kwa course hiyo. OveR