Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi

Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau

Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?

Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha

Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
 
Ukishika ukuta na kisha ukakata na kufunua vizuri, mafisadi wa ufipa watakupatia msosi hadi uvimbewe.
 
Cha Arusha au Kahama?! Tuanzie hapo kwanza....
 
Hicho cha Kahama. Nenda ulikosomea primary school ukaulizie lakini ukumbuke kuambatana na vifuatavyo
1. Vyeti vyako vyote
2. Sample ya bangi uliyovuta
3. Wazazi au walezi
4. Mkt wa serikali za mtaa

Ukimaliza hapo ripoti kituo cha police kilicho karibu kwa kuelezea madhara ya bangi uliyovuta
 
Mkuu wenye hali kama yangu tupo wengi hata Joh Makini kuna siku aliitwa jina lake halisi ambalo ni John akabaki ameduwaa tu mpaka pale kumbukumbu zilipomjia kuwa john ni jina lake
 
Wakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi

Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau

Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?

Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha

Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
Umezoea kuitwa bebi mpaka jina lako umelisahau
 
Naona mwaka unaumaliza vbaya kwa kupotelewa kumbukumbu
 
Sasa naanza kufaham kwa nini una mahaba na shetani..kuna fyuse zimekatika ndio maana inatokea hivyo
 
Unatakiwa ule vizuri kabla ya kuongeza moshi kichwani shibe anapunguza makali ya zao korofi.
 
Back
Top Bottom