Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ukishika ukuta na kisha ukakata na kufunua vizuri, mafisadi wa ufipa watakupatia msosi hadi uvimbewe.Wakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi
Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau
Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?
Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha
Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
Duuuh mkuu nipo serous ujueUkishika ukuta na kisha ukakata na kufunua vizuri, mafisadi wa ufipa watakupatia msosi hadi uvimbewe.
Nakaa dar mkuuCha Arusha au Kahama?! Tuanzie hapo kwanza....
Sawa unakaa Dar... sasa je, umepiga cha A-Town, Kahama au Shy-town? Au kitu cha Malawi kupitia Mbeya?Nakaa dar mkuu
Mkuu wenye hali kama yangu tupo wengi hata Joh Makini kuna siku aliitwa jina lake halisi ambalo ni John akabaki ameduwaa tu mpaka pale kumbukumbu zilipomjia kuwa john ni jina lakeHicho cha Kahama. Nenda ulikosomea primary school ukaulizie lakini ukumbuke kuambatana na vifuatavyo
1. Vyeti vyako vyote
2. Sample ya bangi uliyovuta
3. Wazazi au walezi
4. Mkt wa serikali za mtaa
Ukimaliza hapo ripoti kituo cha police kilicho karibu kwa kuelezea madhara ya bangi uliyovuta
Umezoea kuitwa bebi mpaka jina lako umelisahauWakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi
Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau
Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?
Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha
Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
Hapana mkuu hilo sio jina languUnaitwa MWAJUMA
duhSasa naanza kufaham kwa una mahaba na shetani..kuna fyuse zimekatika
AsanteMsimlaumu Sana nimecheki post zake hapa jf ni pumba 80%