wakuu naombeni msaada laptop yangu imekuwa kmeo kila nikiwasha inawasha taa za blue tu baada ya sekunde inazima akuna kinachoendelea nimebahatika kuwaona wataalamu wawili wananiambia akuna jinsi aiwezi kupona cjakubali najua hapa kuna vichwa vikali nataraji kupata msaada
mkuu hizi machine nasikia ndio matatizo yake na inakuwa imekufa motherboard najaribu kufatilia mana mwenyewe pia nina ufahamu kidogo asa kwa hardware ndomana naitaji mawazo kutoka kwa wadau tofauti na nimetafuta kwenye mtandao inaonyesha haya matatizo ni sugu kwa hizi model so naendelea kusoma maelezo ya troubleshooting mkuu sorry kama maelezo hayakujitosheleza ni kwamba haiwaki wala haifanyi kazi na ukichomeka chaji inaonyesha kama inachaji lakini ukiwasha inawasha taa za blue kama inataka kuwaka lakini sec tu inazima mkuu hope umenielewa sasa
wakuu naombeni msaada laptop yangu imekuwa kmeo kila nikiwasha inawasha taa za blue tu baada ya sekunde inazima akuna kinachoendelea nimebahatika kuwaona wataalamu wawili wananiambia akuna jinsi aiwezi kupona cjakubali najua hapa kuna vichwa vikali nataraji kupata msaada
Wakati unawasha kuna chochote kina display kwenye screen? Je kuna mlio wowote unausikia?
Je mara ya mwisho kuitumia ni lini?
Hello kiongozi! Pole sana kwa masahibu yaliyokukuta,Kwa kifupi nimeexperience Tatizo kama hilo kama miezi mitatu iliyopita with HP PAVILLION DV6000,Baada ya kuangaika nayo sana nilikuja kugundua ni motherboard defect ambayo imetoka nayo kiwandani,na baada ya kugoogle nilikutana na articles nyingi zenye kuonyesha kuna HP PAVILLION DV series(AMD MOTHERBOARD) ambazo zinatatizo la motherboards,so kiongozi jaribu kutroubleshoot thoz common hardwares (RAM,HARD DISK,PROCESSOR,FAN,POWER SUPP asante pole na ww na mm nimetafuta nakutana na hayo ila nafanyia kazi
Pole sana mkuu kwa tatizo hilo...Model hizo ndio matatizo yake hayo. Nimeshashughulikia mashine kama nne hivi zikiwa na tatizo kama hilo. Mara ya kwanza kabisa nilitumia video hii "Kong'oli hapa" kutatua tatizo. Sikushauri kufanya hivi kama si muelewa wa taaluma hiyo, maana unaweza ukabakiwa na parts za ziada wakati wa kurudisha. Warudie hao wataaluma wanaweza wakakusaidia zaidi.