Mdanganyika ni muhimu kujua kua usipende kutongoza wanawake just because kakuvutia na ni Sister du' Hapo tu yaonesha kama vile waona kabisa yupo juu ya level yako... Hivi umejiuliza kukubali kwa huyo dada kuingia kwenye mahusiano ni mambo gani watakiwa ujiandae kuweza himili shida zake? Na je do you think wamuweza.... Yaani do you think you will blend na she is the one for you? Maana from what and how I understand kama ni KWELI sisiter do' then you have a long safari.... Sio tu katika kutongoza bali hata katika mahusiano.