Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Share utanipa ngapi na tshs nichangie mkuu?Kwanza kuna aina nyingi za madini na nibora ungetaja kuwa ungependa ufanye biashara ya madini gani. Labda tu nikuambie mm mwenyewe nina eneo la uchimbaji madini ya dhahabu natayari nimeshalilipia leseni ya utafiki yaani PML nilishaenda eneo hilo nikajaribu kufanya utafiti nikachimba kiroba kimoja cha mawe nikakifanyia proses nikapata kama pointi 7 nikagundua nikisaga tani moja nitapata gram 7 tatizo kwangu ikawa nimtaji nakama unahitaji wewe kuwa unanunua tu usijihusishwe na uchimbaji pia kuna jama yangu ananya biashara hiyo naweza kukuunganisha naye pia nakama uko safi kiuchumi yaani unaweza kugaramia zile garama za awali naweza haadi mgodi uweze kujiendesha naweza kukuuzia Shea tukawa wote kwenye huo mgodi.
mkuu nashukuru sana kwa mwongozo wako na moyo wako huu uliounesha hapa.Kwanza kuna aina nyingi za madini na nibora ungetaja kuwa ungependa ufanye biashara ya madini gani. Labda tu nikuambie mm mwenyewe nina eneo la uchimbaji madini ya dhahabu natayari nimeshalilipia leseni ya utafiki yaani PML nilishaenda eneo hilo nikajaribu kufanya utafiti nikachimba kiroba kimoja cha mawe nikakifanyia proses nikapata kama pointi 7 nikagundua nikisaga tani moja nitapata gram 7 tatizo kwangu ikawa nimtaji nakama unahitaji wewe kuwa unanunua tu usijihusishwe na uchimbaji pia kuna jama yangu ananya biashara hiyo naweza kukuunganisha naye pia nakama uko safi kiuchumi yaani unaweza kugaramia zile garama za awali naweza haadi mgodi uweze kujiendesha naweza kukuuzia Shea tukawa wote kwenye huo mgodi.
mgodi wako uko wapi?Bill quantity Shea ya uchumbaji huu mdogo inategemeana namakubaliano mda mwingine huwa unapewa jina kamili namisha kwamba kama kwenye eneo tuko wawili au watatu wewe unaongezeka unakuwa waine lkn tu kwamashariti ya kulidhamini hilo eneo haad liweze kujiendesha au unauziwa jina kwa pesa tasilimu mtakazo kubaliana hapa kila mmoja anakuwa na hisa sawa namwingine kwahiyo hata majukumu mnakuwa mnalingana.