Wakuu mwenye format ya resaerch proposal ya kiswahili naomba anisaidie pls

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu mwenye proposal format ya kiswahili anisaidie tafadhali
 
Chamsingi ni Research format. Formarts zote zinafanana hata kama unafanya utafiti kwa Lugha ya Kijaluo, Kichaga, Kihindi etc. Kama tatizo lako ni kutafsiri kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili, lete nikutafsirie halafu utoe dau(ulipie). You can just PM and tell you how to do that. Thanks.
 
Wakuu mwenye proposal format ya kiswahili anisaidie tafadhali

Reaserch proposal ya kiswahii ni tungo tata.
Una maana research propasal ya subject/mada ya kiswahili au ni reserch propsal ya siasa au Historia ya sayansi ya magonjwa au ya mada yoyote ile iliyoanadikwa kwa ugha ya kiswahili.

Wahtaver the case just google proposa template/samples ya mada kuu unayotafuta kwa kingereza then utaitafsisri na kuichakauchua iendane na unchotaka. Kama alivyodai madu hapo juu kama huna muda na una pesa inatafuta matumizi basi sema dau.

NB

Kumbuka proposal ya kiswahili ya kuazisha bishara ina tofauti na proposal ya kiswahili ya utafiti wa wa historia au ya utafiti wa sayansi. Japo dhumuni ya Proposal ni lile lile kwa zote
 

Mkuu si manishi mchanganuo wa biashara make hiyo ya mchanganuo wa biashara ya kiswahili naifahamu vyema na ninazo hizo mimi nataka ya MAADA YA KISWAHILI
 
Be explicitly specific to be helped. Do not ever think what is in your head people know it. Make it broader and we can help you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…