Wakuu, mwenye uzoefu kuhusu ujenzi wa nyumba

esir hayatou

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Nahitaji kujenga nyumba kwa sasa,idadi ya vyumba ni vinne, jiko, store, public toilet,vyote ndani kwa ndani" msaada unahitajika hapa

1:kwa makadirio ya jumla niandae tsh. ngapi mpaka nyumba kukamilika.

2:kwa wale wataalam wa kupaua(kupiga bati) ni kiasi gani cha bati kitahitajika hapo, just by makadirio tu.bila kusahau idadi ya mbao.

Ni hayo tu wakuu eneo la ujenzi lipo Tanga mjini.
 
Weka mchoro!
 
Hivi watu wa Tanga mkoje ?Umeona na sisi tunajua ramli kama nyie. hujatupa dimensions za nyumba wala building material wala gradient za unapojengea wala ulipopata hizo pesa wala wala wali. unataka yukupeje estimates. Ile La Casa Chica bado ipo ?
 
Aisee ujenzi unategemea vitu vingi mkuu, embu jaza jaza nyama at least ulete na plan ya nyumba then watu ndio wanaweza kukadiria gharama za ujenzi. Construction haipo kienyeji hivyo.
 
Nahitaji kujenga nyumba kwa sasa,idadi ya vyumba ni vinne, jiko, store, public toilet,vyote ndani kwa ndani" msaada unahitajika hapa

1:kwa makadirio ya jumla niandae tsh. ngapi mpaka nyumba kukamilika.

2:kwa wale wataalam wa kupaua(kupiga bati) ni kiasi gani cha bati kitahitajika hapo, just by makadirio tu.bila kusahau idadi ya mbao.

Ni hayo tu wakuu eneo la ujenzi lipo Tanga mjini.

Kadiria. 600000 tsh. Kwa sq. m
Otherwise weka mchoro.
 
Kabla ya kufanya chochote concern construction kuna series ya watu wanahusika hapa...
Land surveyors/Planners
Huyu ni muhimu katika kujua site demacation,topography ya eneo na tabia nchi ya eneo unalotaka kufanya ujenzi...
Architect
Baada ya kupata details toka kwa surveyor atakusikiliza requirements zako na kuzitengeneza kwenye michoro ambapo atakaa nawe tena baada ya kutengeneza preliminaries kisha kama utaona inafaa mfanya ammendments.
Ni muhimu sana kwani atakushauri pia na matumizi sahihi ya eneo lako!
Structural Engineers
Baada ya Architect kutengeneza mchoro huyu bwana/bi Eng atahusika kukuandalia calculation kwa ajili ya structural stability kwenye Substructure na upper structure...
Kumwepuka huyu mdau unaweza kuoverdesign ukapata hasara ya material ama ku under estimate load ukaishia kuziba nyufa kila leo.
Building Economists
Hawa wakishapatiwa michoro ya Architect na calculation za Eng wanakupa gharama za Majenzi...
Renumeration kama hutomtumia ni kupigwa tu na mafundi, na sishangai ukajenga enclosure inayoworth 35 M kwa 70 M na bado ukasimama kujisifu nimejenga kwa gharama sana!
 
Kwahiyo nyumba itakua
1.tofali 3000@tsh 700/=
2.mchanga roli 3@tsh 250,000/=
3.kokoto roli 2@tsh 250,000/=
4.cement mifuko 200@tsh 15,000/=
5.bati 80@tsh 16,000/=
6.mbao,misumari,gypsumboard,tiles,rangi,vioo,jumla tsh 11milions
7.ufundi tsh 6milions
8.finish materials tsh 7milions.
 
Noted with thanks
 
Namie niongezee swali hapa msingi wa nyumba ya vyumba Vinne including kitchen, dinning na two master bed rooms inachukua tofari na cement mifuko mingapi?!
 
Hivi watu wa Tanga mkoje ?Umeona na sisi tunajua ramli kama nyie. hujatupa dimensions za nyumba wala building material wala gradient za unapojengea wala ulipopata hizo pesa wala wala wali. unataka yukupeje estimates. Ile La Casa Chica bado ipo ?

Hutakiwi kutoa lawama mkuu sana sana unatakiwa kumwelekeza afanye nini ndipo aje hapa na kuomba usahauri
 
Kweli kuna kila sababu ya mwenye nyumba kuitwa baba/mama na si dada/kaka.
Yaani kuna baba/mama mwenye nyumba na si mwenye gari.
 
Kadiria. 600000 tsh. Kwa sq. m
Otherwise weka mchoro.

Hii ni pro rata rate, inatumika kukadiria kama uhakika haupo wa vikolombwezo vilivyomo kwenye jengo! Hivyo kupata overview, basi unachukua plan area ya jengo unazidisha kwa Tsh600,000/- hasa kwa maghorofa haya ya kawaida
 
Namie niongezee swali hapa msingi wa nyumba ya vyumba Vinne including kitchen, dinning na two master bed rooms inachukua tofari na cement mifuko mingapi?!

Kwa nyumba ya ukubwa unaoendana na maelezo yako,kama hamna miinuko mingi, msingi hauko deep kama eneo halina mfinyanzi( black cotton soil,expansive soil, clayey soil of higher plasticity), basi idada itakuwa kwenye margin: 1000-1500
 
Eneo ni tambalale kabisa kwa idadi hio nadhania cement itakua 40bags!! Thanks mtu wangu!!
 
Kwahiyo nyumba itakua
1.tofali 3000@tsh 700/=
2.mchanga roli 3@tsh 250,000/=
3.kokoto roli 2@tsh 250,000/=
4.cement mifuko 200@tsh 15,000/=
5.bati 80@tsh 16,000/=
6.mbao,misumari,gypsumboard,tiles,rangi,vioo,jumla tsh 11milions
7.ufundi tsh 6milions
8.finish materials tsh 7milions.

Kweli we we hamnazo,hauwez kujenga kujenga kwa gharama yako....
 
Namie niongezee swali hapa
msingi wa nyumba ya vyumba Vinne including kitchen, dinning na two
master bed rooms inachukua tofari na cement mifuko mingapi?!

Kumbe mko wengi!
 
Back
Top Bottom