Wakuu na ombeni ushauri wenu.

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
582
Mimi ni mtumishi waidara flani.ni mwaka wa nne sasa kazini.
Nime amua kurisiti mtihani wa kidato cha 4 mwaka huu,nanimesha ripa karo ya mtihani,
baada ya matokeo kutoka nduguzangu wana nishauri niachekufanya mtihani badala yake nianze ceti namie ndoto yangu ni kuwa MWANASHERIA.
Ushauri wenu tafadhari
je nizibe masikio au ni zibue?
 
kama unaamini unaweza, unaweza kweli. Endelea kupambana mpaka kieleweke, na kumbuka kumsoma adui kabla ya vita nikimaanisha ukusanye details zote na mbinu zote za kufaulu. Kila la kheri!!!!
 
kila kitu NIA kwani mbona hata haya matokeo kuna wamefaulu, la muhimu jipange vizuri, hivyo ni vita panga namna ya kumatak adui,hata GOLIATI alipigwa na kajamaa kadogo daudi.keep think..........!
 
kama unaamini unaweza, unaweza kweli. Endelea kupambana mpaka kieleweke, na kumbuka kumsoma adui kabla ya vita nikimaanisha ukusanye details zote na mbinu zote za kufaulu. Kila la kheri!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…