Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,076
- 14,775
Ugeni huna aisee.Mimi ni mgeni huku na sijui vile kunaendaga. Nawaomba wakuu na wenyeji wa huku munisaidie na Likes zenu na nitashukuru...
Taabu ya nini tena?Ugeni huna aisee.
Utapata tabu sana ukisisitiza wewe ni mgeni.
Heshima ndiyo muhimu..Like sio ishu, karibu jf
Taabu ya nini tena?
Hapa SawaHeshima ndiyo muhimu..
Sijui kama ni hivi inasemagwa "haba na haba hijaza kibaba" na kama nimekosea unikosoe.Kusubiri likes.
Thanks .Karibu sana mkuu
ujazo wa likes ni upi?Sijui kama ni hivi inasemagwa "haba na haba hijaza kibaba" na kama nimekosea unikosoe.
Sasa na wewe mkuu Ngao Ya Imani una miaka karibia mitano (5) hapa JF bado unaitwa NEW MEMBER!!!!!!!!Karibu sana. Uwe mpole na mnyenyekevu likes utazipata tu.
Jirani weeee!!! hahahahaha. Upo lakiniwewe ni ke au me?
Nipo jirani,Jirani weeee!!! hahahahaha. Upo lakini
Sasa na wewe mkuu Ngao Ya Imani una miaka karibia mitano (5) hapa JF bado unaitwa NEW MEMBER!!!!!!!!
Thanks. Upole wangu mutaujua tu..Karibu sana. Uwe mpole na mnyenyekevu likes utazipata tu.
Nazitaka ndiyo niwe Jf expert kama wewe.likes za nn
Points za huku hakuna kuziredeem?ujazo wa likes ni upi?
Na ukishaupata je, kuna bonus points za kukusanya unapata hela ama faida yeyote?
Don't stress yourself. Just be you, likes or no likes.