Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula.
Ki miji hicho kiwe kinajiendesha kibiashara kila siku kisiwe watu wake wanasubiri mavuno ili wafanye biashara. Kama unafaham ki senta au ki mji Cha Aina hii pls comment location yake, usisahau mkoa na wilaya.