Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Biashara ya kukopesha wajasilia Mali mkuuUngetwambia unataka kufanya biashara gani ingekuwa poa
Mkuu mm nahitaji kutoa huduma ya mkopo kwa watu hawa, nahitaji sehem iliyo changamka kwa sababu ya mzunguko wa biashara ili wateja wengi wasiwe wasumbufu kurejesha.Unataku kuwaletea fursa gani mkuu? Unahisi itawasaidia ? Why unahitaji sehemu iliyochangamka?
Ok nice ila ni sehemu gani specifically unatarget? Mfano kikundi kipo Musoma na wewe upo Dar maybe utakua tayari?, securities zao itakua nini? Riba asilimia ngapi?Mkuu mm nahitaji kutoa huduma ya mkopo kwa watu hawa, nahitaji sehem iliyo changamka kwa sababu ya mzunguko wa biashara ili wateja wengi wasiwe wasumbufu kurejesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetarget sehem senta au ki mji kidogo ambacho kina wajasilia Mali wadogo wadogo.Ok nice ila ni sehemu gani specifically unatarget? Mfano kikundi kipo Musoma na wewe upo Dar maybe utakua tayari?, securities zao itakua nini? Riba asilimia ngapi?
Umejaribu kucheki hapo mtaani kwenu kwanza kabla hujaendelea kwa wengine hata waliombali na wewe?
Ok Asante Sana mkuu.Dodoma zipo nyingi hizo center kwa kuanzia,Nzuguni kwa masista,sabasaba nk.
Wewe umewahi kukopesha? Utaratibu wako ulikuaje ?Achana na biashara ya kukopesha mbongo utalia