Wakuu nahitaji kununua gari naombeni ushauri wenu

Fuel consumption ya x trail ipoje mkuu
Siyo mbya Ila ni tofauti na spacio spacio ni nzuri kwenye fuel na spares yaani kwa kifupi Toyota zote spare ni Bei rahisi na zinapatikana popote tofauti na Nissan Ila kwa miaka ijayo spare nazo za Nissan zitakuwa zinapatikana kwa kuwa Toyota kwa sasa Kodi yake imebadilika Sana kuliko Nissan
 
Sema uliluwa na gari mbovu kuchemsha ni matatizo ubovu binafsi siyo wa kampuni then wewe unakuwa na gari ya kutembelea unataka kuigeuza ya mizigo .wewe ukitaka kwenda kijijini kwenu nenda na center hapo utabeba hata mawe ukiona ni mazuri na mjini hakuna
 
kweli asee nimeona kama, Toyota vanguard 2013 kodi imepanda kutoka 11M hadi 31M... na vanguard 2014 imepanda kutoka13M hadi 25M[emoji22][emoji22]
 
[emoji23][emoji23]
 
Hahahahhahahahhah. Sawa kaka .. nimejikuta nacheka nasimu.
 
Ni nini hasa tofauti kati ya Toyota Auris na Toyota Blade na ipi bora?
 
nilijua nitakutana na habari za "hiyo fanyia biashara".
Wana JF wamebadilika kwa kweli.
mzee wa bangi, daka spacio kama unataka used. Xtrail nyingi ukiona linauzwa ujue limenshida mmiliki aliyepita
 
nilijua nitakutana na habari za "hiyo fanyia biashara".
Wana JF wamebadilika kwa kweli.
mzee wa bangi, daka spacio kama unataka used. Xtrail nyingi ukiona linauzwa ujue limenshida mmiliki aliyepita
[emoji106][emoji106]Nimekupata mkuu
 
Hata pikpik haichemk kwa km 30 ,labda hizo zilikuwa mbovu bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…