Wakuu nahitaji kununua gari naombeni ushauri wenu

Sijajua ila nimewatumia e-mail kuwauliza kama CIF ipo... kama wakisema ipo basi najilipua tu naiagiza
Sometimes, cheap is expensive.
Unakuta inauzwa hivyo kwa sababu ya udhaifu wa mambo ya kiufundi hivyo gari ikifika, baada ya muda inaanza kukusumbua.


By the way,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…