Download and use team viewer.
Software itakuwezesha kutumia PC ya mtu mwingine kama yako.yaani desktop yake mouse na keyboard yako ndo inacontrol pc yake.you just give the on other pC owner your I'd and Pascode.uitaji kingine and the software is free for you
wakuu ninahitaji msaada wa program or software ambayo na weza kulink na watu pande zote za dunia niweze kufanya nao kazi kwamba anahitaji kuflash au kunlock alink na site yangu na mm namchakachulia hapa hapa kwenye computer yangu najua wataalam wamejua shida yangu labda ambapo awajajua mtakuwa mnaniuliza najua nitapata suluhisho hapa kwa magreatthinker asanteni
Kamanda dr phone sijui kama nimeelewa swali lako
Kua kitu kinaitwa Remote desktop Connection (RDC) au Terminal Service Clinet katika windows. Wahusika wote wakiwa na Internet basi mmoja anaweza ku acess latop au PC ya mwenzake kama vile ni yake kabisa. Kuna application nyingine inatwa Citrix.
But nadhani hizi zote zinahitaji bandwidth iliyoshiba . Ngoja nisome some kwenye net nikumbushe. Nimetumia RDC zamani sana
asante mkuu ndio ninachohitaji mkuu
Kama una windows XP preffsiona au Above basi huna kazi kubwa ya kufanya kinachotakiwa kufanyika na pande mbili za shilingi ni
Kufuata maelekezo haya Set Up Remote Desktop Web Connection with Windows XP
kazi umemaliza hapo unaweza kufanya hata support ya PC ya mtu ukiwa mbali ilimradi muaminiane na akuruhusu ua cacess PC yake
aikambe sana mkuu nimetoka job kesho mungu akpenda nitafanyia kazi kama kawa nitaleta mrejesho je kiusalama ikoje awezi mtu kuingilia pc yangu
kiusalama ni mpaka nawewe umkubalie. KImsingi inabidi awe ni mtu mnaaminiana na mwenye pc bado anakuwa na control ya kumuondoa na kumyima. Sijaitumia siku nyingi kuna information naweza kuwa nakosea lakini ina maana itabidi wewe au yeye ajue IP yako. I mean Internet au Public IP adress sio Private.