wakuu naitaji wakili kwa kesi yangu

wakuu naitaji wakili kwa kesi yangu

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
jf mambo vpi?
mimi nilikuwa na mpenzi tumeishi kama miezi mitano sasa kuna siku mpenzi wangu akazikuta msg za demu mwingine kwenye simu yangu akaamua kwenda police na kusema nimemtapeli sh milion tano! hakuna ushahidi wowote na hizo pesa sijachukua kesi iko mahakamani so naitaji wakili tafadhari au ushauri wa kisheria
 
sasa wakili unamuhitaji kesi yote umeiweka hadhani,anyway sio mbaya sana, utapata pm
jf mambo vpi? mimi nilikuwa na mpenzi tumeishi kama miezi mitano sasa kuna siku mpenzi wangu akazikuta msg za demu mwingine kwenye simu yangu akaamua kwenda police na kusema nimemtapeli sh milion tano! hakuna ushahidi wowote na hizo pesa sijachukua kesi iko mahakamani so naitaji wakili tafadhari au ushauri wa kisheria
 
haha hhaaaa

ulimtapeli mapenzi mkuu yeye anajifidia kwa hyo m 5.

pole sana .. hope utashinda
 
wakili na mahakimu lao moja,unatoa rushwa kiasi gani ndio hukumu itakavyokupendelea
 
Ni kwamb kweli pesa ulichukua ila ushahidi ndo hana huyo mpenz wako kama ulivyojielez
 
ah wapi sijachukua pesa yoyote ila ameamua kunikomesha tu huyu demu sasa nataka kujua kama hakuna ushahidi inakuwaje?
 
Ni kwamb kweli pesa ulichukua ila ushahidi ndo hana huyo mpenz wako kama ulivyojielez

kweli kabisa mkuu jamaa kalamba m5 then ndo anataka audanganye umma eti anasingiziwa pia kuna uwezekano wa demu kushinda.
 
na huyu mpenzi kama ni member wa jf anipm kwa namna kumtia hatiani huyu jamaa anayenyanyasa wanawake.

huyu mwanamke hakwenda tu police yapo mengi jamaa kamfanyia ambayo hakuweka hapa hadharani
 
Back
Top Bottom