jf mambo vpi? mimi nilikuwa na mpenzi tumeishi kama miezi mitano sasa kuna siku mpenzi wangu akazikuta msg za demu mwingine kwenye simu yangu akaamua kwenda police na kusema nimemtapeli sh milion tano! hakuna ushahidi wowote na hizo pesa sijachukua kesi iko mahakamani so naitaji wakili tafadhari au ushauri wa kisheria
Ni kwamb kweli pesa ulichukua ila ushahidi ndo hana huyo mpenz wako kama ulivyojielez
wakili na mahakimu lao moja,unatoa rushwa kiasi gani ndio hukumu itakavyokupendelea