Hivi wakiolewa na wa humu huwa wanapigwa marufuku kuingia JF eeeeh?Miss kaolewa, aliemuoa ni wa humu.
Hivi wakiolewa na wa humu huwa wanapigwa marufuku kuingia JF eeeeh?
Mungu aibariki ndoa ya mankaMiss kaolewa, aliemuoa ni wa humu.
Sijui wapo wap hawa
Mkuu hili suala hata mimi lanipa shida sana..Hivi wakiolewa na wa humu huwa wanapigwa marufuku kuingia JF eeeeh?
Watu wasiojulikana washa Fanya yaoHivi karibuni amekuwa akiuliziwa uliziwa.
Shangaa hivyohivyoKumbe humu kuna real couples eehh!!