L Lutubija Senior Member Joined Dec 27, 2014 Posts 125 Reaction score 10 Jan 31, 2015 #1 haya maneno yana maana moja mwasisi , mbunifu,na mgunduzi NA je kama hayana maana moja kila jambo hapo linamana gani? naomba msaada wenu watalam wa kiswahili
haya maneno yana maana moja mwasisi , mbunifu,na mgunduzi NA je kama hayana maana moja kila jambo hapo linamana gani? naomba msaada wenu watalam wa kiswahili
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jan 31, 2015 #2 Kabla haujauliza ulitakiwe upate majibu yako kichwani ndo uyafikishe hapa kisha tukuambie kama ni sawa ama si sawa
Kabla haujauliza ulitakiwe upate majibu yako kichwani ndo uyafikishe hapa kisha tukuambie kama ni sawa ama si sawa
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 31, 2015 #3 Mwasisi-Founder Mbunifu-Designer Mgunduzi-Inventor