Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
I mean Kwamba neno Sahihi kutumika Ni ""Ya"" au ""Wa"" pia ""The"" inapashwa kuwepo?Hata sielewi umeandika nini hapo anyway wakija wanaojua tutaelewa vizuri
Wrong,kwani kabla ya kuungana si ilikua Tanganyika na Zanzibar so wameungana nchi mbili so kwa uelew wangu ni lazma ikishakua muuungano means ni watu wawili au zaidi so ni jamuhuri ya muungano wa watu wa Tanzania means( Zanzbar na Tanganyka)Jamhuri ya muungano ya Tanzania ndio sahihi
Kiunganishi au neno '' wa'' lina demand neno lingine la kuungwa kwenye kiunganishi ''wa''Wrong,kwani kabla ya kuungana si ilikua Tanganyika na Zanzibar so wameungana nchi mbili so kwa uelew wangu ni lazma ikishakua muuungano means ni watu wawili au zaidi so ni jamuhuri ya muungano wa watu wa Tanzania means( Zanzbar na Tanganyka)
Kiswahili ni 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'Je Usahihi ni United Republic of Tanzania au Ni ""The United Republic of Tanzania.?""
Kwa Maana ""Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ""na Siyo ""Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania.""? .... Karibuni
'The' lazima iwepo, kuonesha upekeeI mean Kwamba neno Sahihi kutumika Ni ""Ya"" au ""Wa"" pia ""The"" inapashwa kuwepo?