Wakuu,naomba maelekezo ya namna ya kutag mtu humu,na kutag uzi flani unaotaka.

Wakuu,naomba maelekezo ya namna ya kutag mtu humu,na kutag uzi flani unaotaka.

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Nimekuwa ndugu yenu humu ndani kwa mda sasa.Najivunia kuwa Miongoni mwa active member hapa jukwaani.
Lakini kukaa kwangu kote huku sijajua kabsa namna ya kutag,nyuzi na member kama wafanyavyo kina mayala na wengine.
Nimejua vitu vingine mfano;
Bold=JR
Underline=jr
Colour=jr
Nk nk nk!!
Lakni kutag ndo mtihani haswaaa!
Mwenye uelewaa anijuze hili
"Kuuliza si ujinga"

#jr
 
Back
Top Bottom