Nimejenga nyumba kubwa mara mbili ya hiyo imekula tofali 6000 za block. Hiyo nyumba haizidi tofali 3500 za blockmpaka kwenye lenta kwa matofali ya block itachukua kati ya 5000-5300 na kwa matofali ya kuchoma ni arround 7000-8000(nb: yametofautiana ukubwa)
3500 hazifiki, ni around Tofali 2600Nimejenga nyumba kubwa mara mbili ya hiyo imekula tofali 6000 za block. Hiyo nyumba haizidi tofali 3500 za block
Kapo ngapi?Shukrani sana, nimepata idea, so kapesa kangu kanaweza fika hata lenta
Mkubwa chumba na sebule Inakula bei gani kukamilikaIpo hivi
Nyingi huja pungufu Ila zinatakiwa ziwe na futi 40,lakini unakuta ina futi 34 , Mara 36, Mara 38, shagalabagala tu
- Tofali za msingi ni 800 (course 6)
- Tofali za boma ni 1800 (course 14)
- Cement kwa Msingi nj mifuko 18
- Cement kwa ajili ya boma ni mifuko 27
- Nondo kwa ajili ya Msingi, hapa Kuna shida maana sasa hivi nondo hazina ukubwa unaofanana.
Ila andaa piece 16
Mimi ni contractor niliyeshindikana, uliza swali lolote la ujenzi
Ya kwako 2600 ni minimum na ya kwake 3500 ni maximum. Wote mpo sahihi. Maana inatengemea slope ya uwanja pamoja na kuinuka kwa msingi pamoja na kuta zake.3500 hazifiki, ni around Tofali 2600
Ipo hivi
Nyingi huja pungufu Ila zinatakiwa ziwe na futi 40,lakini unakuta ina futi 34 , Mara 36, Mara 38, shagalabagala tu
- Tofali za msingi ni 800 (course 6)
- Tofali za boma ni 1800 (course 14)
- Cement kwa Msingi nj mifuko 18
- Cement kwa ajili ya boma ni mifuko 27
- Nondo kwa ajili ya Msingi, hapa Kuna shida maana sasa hivi nondo hazina ukubwa unaofanana.
Ila andaa piece 16
Mimi ni contractor niliyeshindikana, uliza swali lolote la ujenzi
Kama kiwanja akina slope kubwa basi tofali 2800-3500 kwa boma! Gharama za fundi mzuri lazima iwe 2.5M mpka 3M (Kwa Dsm)Habari
Kwa ramani hii kuanzia msingi mpk boma itakula tofari ngapi? N pesa y fundi mpk boma bei gani kwa Dar.
View attachment 1963144
Asante