wakuu naomba mnijuze bei ya mashine ya presha ya kuosha gari

wakuu naomba mnijuze bei ya mashine ya presha ya kuosha gari

kalakata

Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
25
Reaction score
2
Wakuu naomba wenye ufahamu wa kuhusu bei ya msahine ya kuoshea gari kwani nataka kufanya bihashara ya carwash
 
machine ziko tofauti kwa ukubwa na pressha
lakini kwa hapa unapata kuanziaa $200, za ulaya sio china
 
Back
Top Bottom