Wakuu naomba mnisaidie kuhusu suala zima la uzazi

Zum

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
33
Reaction score
4
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, niliwahi kucheza rafu na msichana mmoja nikampa ujauzito tukafikishana mbali mpaka nikakabidhiwa niishi nae lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi mitatu ukatoka.

Badala ya hapo hadi sasa yapata miezi 8 tangu ule ujauzito utoke lakini cha kushangaza huwa tunafanya mapenzi siku za hatari lakini hapati mimba ila dalili zote za mjamzto anakuwa nazo na hata tumbo pia hubadiika kuongezeka kuwa kubwa.

Tulienda hospitali mwanamke kuchekiwa madaktari wakasema hana tatizo lolote kizazi kipo safi na mirija ipo vizuri akapewa dawa anywe ili tukutane tujaribu yani tufanye tuanglie majibu.

Ila baada ya hapo pia alichelewa kupata siku zake na dalili zote za mjamzito alikuwa nazo na tumbo kufutuka kidogo ila amepata siku zake kama kawaida na tumbo huwa linamuuma sana kiasi flani.

Kwa upande wangu kipindi flani cha nyuma nilikuwa mshiriki mkubwa sana wa punyeto sasa hivi nakuwa mzito kidpgo wa hisia katika tendo la ndoa na mbegu nitowazo sio kama za kipindi cha mwanzo yani zimekuwa dhaifu.

NAHTAJI USHAURI WENU KUWA JEE NAWEZA KUHUSIKA KATIKA NAMNA MOJA AU NYINGNE YAKUTOWEZA KUZALISHA MBEGU STRONG?

Asanteni nahitaji ushauri
 
Hapo nakushauri uwe unakula mbegu za maboga ambazo zita boost uzalishaji wa mbegu,korosho,karanga,asali, na usipende kula machipsi haya kula vyakula asilia hapo ukipiga kitu lazma kinase.
 
asante kwa ushaur wako mkuuu...mungu akubark
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…