CR-V ni nzuri tatizo vipuri vyake ni hadimu sana, na hata vikipatikan bei juu ukilinganisha na vipuri vya toyota. Hivyo ikialibika ghafla tena kama uko mikoani bush jiandae tembea kwa miguu uku ukitafuta kipuri chake cha HONDA.
chukua honda mkuu wala usiopgope spea kwa bongo kidogo zinazingua ila nairobi zimejaa kama utitiri na hamna unayokosa. mimi mwenyewe nina honda na kila siku niko road
chukua honda mkuu wala usiopgope spea kwa bongo kidogo zinazingua ila nairobi zimejaa kama utitiri na hamna unayokosa. mimi mwenyewe nina honda na kila siku niko road