Kukushtaki inawezekana,, ila kushinda ndiyo inakuwa ngumu,,,,,,,,,1-Ni sahihi mtu mliyeshirikiana naye kwenye shughuli za kilimo kukushtaki kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu baada ya project kutokuwa na matokeo mazuri?
2- Kwakuwa huyu mshirika alikuwa anatuma pesa tu je ni sahihi kunifungulia kesi ya jinai wakati anajua fika pesa ilikuwa inaenda kugharamia shughuli za shamba?
Msaada tafadhali wakuu
Kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ni shauri la jinai si madai. Hivyo unaweza shitakiwa na Jamhuri kwa tendo hilo na jamaa yako akawa shahidi1-Ni sahihi mtu mliyeshirikiana naye kwenye shughuli za kilimo kukushtaki kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu baada ya project kutokuwa na matokeo mazuri?
2- Kwakuwa huyu mshirika alikuwa anatuma pesa tu je ni sahihi kunifungulia kesi ya jinai wakati anajua fika pesa ilikuwa inaenda kugharamia shughuli za shamba?
Msaada tafadhali wakuu