Mitch McDeere
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 303
- 632
Tembelea hapa mkuu: Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapaHabarini Za Wakati Huu, Wakuu.
Referring To The Title Above, Ninaomba Kusaidiwa Ebooks or Any Relevant Soft copies za BUSINESS LAW. Nipo Kwenye Uhitaji Mkubwa Kwa Sasa.
Ninaomba kwa aliyenazo/vyo anisaidie, Tafadhali.
Nashukuru sana mkuu. Pamoja.Tembelea hapa mkuu: Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa
Kumbe wanafunzi wake tupo humu.Mr. Perfect .- school of law Udsm unafundisha hadi unaenjoy raha sana business law
Sawa Mkuu. Ahsante.Nitafute nitakupatia
Ni kweli kabisa.Business law ukimpata Ticha mzuri unaenjoy sana.
Sawa mkuu. Nashukuru.Jiunge na platform hiyo kwaajili ya kupata na kyshare learning materials za kisheria.
Mkuu naomba unipatie na mimi hiyo soft copy. Lukona3861@gmail.comKumbe wanafinzi wake tupo humu.
Ha ha anapenda kusema if you try to paraphrase....,!!
Nitumie email yko mkuu nikutumie soft copy ya business law