Kuna tofauti gani kati yao na wabunge wetu?
Kichuguu,
Kuna tofauti kubwa sana mkuu.Hawa wakenya wana kiburi kikubwa sana
na Rais Kibaki kwa kiwango kikubwa amechangia hii tabia. Nakubali kuna
ufisadi Tanzania on a large scale lakini sio wabunge kama hawa. Wewe
uliona wapi mbunge wa Tanzania akimfukuza mtu huku akimrushia mawe?
Kisha anapokamata, anaendekeza na vibao juu....Kisha kwa ubavu kuna
polisi ambaye hafanyi lolote and if anything anachangia hicho kipigo.
Mbunge anakuambia hio ni "Embakasi Justice"...whatever that means.
Kama kuna sheria katika hio nchi, doesnt it dictate that all persons are
innocent until proven guilty by the court of Law?
Kisha kuna huyu mwengine naye anauza magari kisha anabania logbook. Hio
sasa ni nini mkuu? Si ni uhuni tu wa mtaani wa kuzikana? Kisha kwa kiburi
anatuma SMS akisema kwamba atakutumia vijana wake ukiendelea
kuulizia haki yako?
Hawa ndio mabwana ambao tunapaswa kuungana nao katika muungano
wa EAC? I dont think so. Kenya has so much dirty laundry out there
starting right from their President to these low life MPs who care less
about their citizenry. Watu kama hawa wakiruhisiwa kufanya biashara
Tanzania basi itakua vita kila siku mtindo mmoja.
Habari ndio hio!