Wakuu naomba mtu yeyote anikopeshe 3mil

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
298
Reaction score
40
wakuu habarini za kazi,,,
naomba kama kuna mtu anaweza kunikopesha 3mil tuwasiliane nataka niazishe biashara ndogo dhamana nitaweka,,,,
 
jibu haya waweza kusidiwa:
  1. unakaa wap?
  2. dhana yako nini?
  3. utarejeshaje na kwa muda gani?
  4. biashara ip unataka kufanya na wapi?
  5. business plan yako?
 
sawa....utalipa baada ya muda gani....?
 
Njoo uchukue. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
nenda akiba com bank,nmb,crdb utaeleweka..
 


Preta mbona unatoa bila kufikiria.. zimejaa nini pale NBC ..? na mimi naja kwa ajili ya mkopo

ha ha....doc bana....we njoo uchukue.....tena nitakupa bila riba.....na urejeshe siku unataka......
 
nipo MBEZI MWISHO,, KUREJESHA BAADA YA MWAKA,, DHAMANA VYETI,, BIASHARA YA DUKA-STATIONARY ie simu, Uwakala wa Tigopesa na M-pesa etc,.,, NITAFANYIA KIBAHA, tuwasiliane kwa Private message,
 
nipo MBEZI MWISHO,, KUREJESHA BAADA YA MWAKA,, DHAMANA VYETI,, BIASHARA YA DUKA-STATIONARY ie simu, Uwakala wa Tigopesa na M-pesa etc,.,, NITAFANYIA KIBAHA, tuwasiliane kwa, mabmbe@yahoo.com

mmh....nimeghairi...
nenda Pride....Bayport.....nk
 
Preta niko serious nisaidie,,
 
niko serious nisaidie wakuu,,
 
pole mkuu kama una dhamana nenda kwenye taasisi za mikopo na baadhi ya mabenki yenye riba nafuu unaweza kupata mkopo. Humu JF utapoteza muda wako tu kila mtu anajifanya mjuaji na analeta kejeli na maneno ya kukuvunja moyo
 
usinitumie tuwasiliane then tukutane,,,, email nimekupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…