Mabumbe mkopo hutolewa kwa mtu au kampuni ambayo inajulikana kwa mkopeshaji. Nenda kwenye vyombo vya fedha ili waangalie business plan na viability of your project. Dhamana uliyotoa kibenki haipokeleki kwani haiuziki (not enforciable). Ni muhimu kufahamu kuwa benki zingi hazitoi fedha kwa start-up (miradi inayoanza ambayo haina historia)
mimi mtum wa umma, mshr laki500, naweza kukupa laki laki kila mwezi
Sasa laki kwa mwaka si 1.2m? Kama upo tayari nakupa mil3 unarudisha 250k kwa mwezi na kiwanja unaweka bondi... Usipolipa michango mi3 consecutive kinakuwa changu na ukirudia mara mbili kutolipa kinakua changu,kama huko tayari ni-PM.

Dhamana leta mke..nakupa haraka..tukutane wapi
asante,, lakn mkuu mm nataka kwa m2 binafsi coz cna kazi,,,
Wewe unaejielewa imekusaidia nini?wewe hujielewi,,,,,
pole mkuu kama una dhamana nenda kwenye taasisi za mikopo na baadhi ya mabenki yenye riba nafuu unaweza kupata mkopo. Humu JF utapoteza muda wako tu kila mtu anajifanya mjuaji na analeta kejeli na maneno ya kukuvunja moyo
wakuu habarini za kazi,,,
naomba kama kuna mtu anaweza kunikopesha 3mil tuwasiliane nataka niazishe biashara ndogo dhamana nitaweka,,,,
Mkuu unayeomba mkopo, hapa JF huwezi kupata huo mkopo..watz wengi waongo/wadhulumu ndiyo maana kukopeshana kishkaji mwisho wa siku inakuwa uadui kutokana na madeni..
Nenda kwenye institutions zinazotoa mikopo mathalan umejiandaa na kila kitu kinachohitajika kabla ya kuprocess mkopo..uwe mvumilivu tu na hiyo process ili wahakiki kila kitu before kukupatia fweza!
cna cna dhamana mkuu,,,