Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #581
teh teh tehTatizo wengi wanaaga lakini hawaondoki
hahahaaaaaaaTatizo wengi wanaaga lakini hawaondoki
Mulemule...SIKUSHAURI kabisa uende huko kwingine.... SIKUSHAURI utoke JF, kuna maarifa mengi sana hapa.. Wala usikatishwe tamaa na kukosa pongezi... Komaa andika kila utakachoona kina tija kwenye jamii kuondoka JF ni sawa na kujikataa SIKUSHAURI tafadhali baki
Shida yangu ilikuwa comments na like moyo wangu Umetulia sasa tugange yajayo wakuu
Faru dume[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Aisee inashangazaWatu mmekuwaje? Yaani MTU mzima unalilia comment na likes!!!! Vyuma vimekaza.
Hahahaha amesema haondokiKama mpaka sasa Joseverest hajaonekana, nayaamini maneno yako...!!
Pole sana Mkuu...
Mulemule mkuu.
Na wewe nae ubarikiwe kwa Comments yako.Kumbe kukoment na like lazma Uzi flan!?
Jana na leo mkuu.Faru dume[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Aisee inashangaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wakaanga sumu utawajua tu.Hahahaha amesema haondoki
hahaKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...