coolboyjden
JF-Expert Member
- Apr 10, 2021
- 286
- 396
Natanguliza salama,
Wakuu,
Naomba kufahamu kutokana na uzoefu wako kozi ipi veta ni nyepesi na rahisi kujiajiri mwenyewe.
lengo nikupata mafunzo yatakayo saidia kujiajiri.
shukuran.