coolboyjden JF-Expert Member Joined Apr 10, 2021 Posts 286 Reaction score 396 Dec 21, 2023 #1 Natanguliza salama, Wakuu, Naomba kufahamu kutokana na uzoefu wako kozi ipi veta ni nyepesi na rahisi kujiajiri mwenyewe. lengo nikupata mafunzo yatakayo saidia kujiajiri. shukuran.
Natanguliza salama, Wakuu, Naomba kufahamu kutokana na uzoefu wako kozi ipi veta ni nyepesi na rahisi kujiajiri mwenyewe. lengo nikupata mafunzo yatakayo saidia kujiajiri. shukuran.