Dar maeneo ya Magomeni Mikumi na Kinondoni kuna jamaa wanauza za mtumba bike mbalimbali.Sina haja ya kufungua uzi mpya.. Natafuta CBR au sport bike yoyote..
Kwa DAR wapi pana showroom?
Haya CBR125R hiyo Kwa bei ya million 3.8 za kitanzania hapo inabidi umtafute mtu au agent aliyeko South Africa akufanyie mpango wa kuikagua kule kabla ya kununuliwa, kusafirisha mpaka Tunduma au Dar na kuivusha boda. Gharama zote inaweza kufika million 5 au ikazidi kidogo.Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Nahitaji kununua piki piki aina ya HONDA CBR 125R ya mwaka 2019 au 2018 with specs liquid cooled and tubeless tyres.
Je Naweza pata hapa bongo? Au Kama naagiza nje ya nchi mfano Zanzibar au Dubai naagiza vipi?
Kipi tahitaji kulipia baada ya kuagiza ili kukamilisha usajiri na bei yake kwa usajili na kodi
Badger yangu ni 4M hadi 5M, naweza pata hata ya mtumba in good condition?
View attachment 1578076