Wakuu naomba ushauri wenu juu ya hili gari

Kama Ina engine ya diesel ya 4M40 chukua mafundi,spea ni rahisi kupata hata ikiwa imekaa muda itaamshwa haraka. Inaingiliana na Mitsubishi Rosa na Canter, hiyo Pajero ya diesel pembeni utakuta imeandikwa 2.8 Turbo Intercooler.

Kama ni petrol au diesel injini nyingine usichukue kama imekufa suala la kuweka injini nyingine litakugharimu pesa ndefu. Kama umependa gari kubwa hapo inabidi uwe na ujuzi wa magari ili uwe na subira mpaka itakapotulia.
 
Gari ni ya rafiki yangu naijus, ilikuwa hivi, nsichukua kwa M3nbanunua engine ya kuagiza kwa 2ml ya hiace diesel ama petrol naweks, gari inatembea sema ilikaa garage miaka karibu 2 sababu hamaa ana crossroad mpya
 
Ndo engine iliomo ila inasimbua
 
Gari ni ya rafiki yangu naijus, ilikuwa hivi, nsichukua kwa M3nbanunua engine ya kuagiza kwa 2ml ya hiace diesel ama petrol naweks, gari inatembea sema ilikaa garage miaka karibu 2 sababu hamaa ana crossroad mpya
Elewa ulichoambiwa,ina engine ya 4M40?
 
Gari ni ya rafiki yangu naijus, ilikuwa hivi, nsichukua kwa M3nbanunua engine ya kuagiza kwa 2ml ya hiace diesel ama petrol naweks, gari inatembea sema ilikaa garage miaka karibu 2 sababu hamaa ana crossroad mpya
Kama inatembea upeleke gereji wakague kila kitu kuanzia body,diff,gear box,ball joint,shock up mpaka injini ili ukianza kutumia isilete breakdown yoyote.

Hiyo injini ya 4M40 inatengenezeka kirahisi haisumbui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…