Wakuu naombeni Jambo Hili Kikanuni

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Hivi ikitokea Yanga anamfunga Coastal Union FC kwenye fainali ya kombe la shirikisho Tanzania bara -ASFC,na huku tayari akiwa Bingwa wa NBC premier league.

Na kwakua mechi ya Ngano ya hisani inakutanisha Bingwa wa Premier league na Bingwa wa Shirikisho.

Je,Yanga itabdi ishindanishe kikosi A vs Kikosi B?

Au mwongozo unasemaje?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ahaaaa ahaaaa umeuliza swali la msingi sana nami nipo hapa nasubiri ufafanuzi
 
Msimu uliopita Simba alichukua FA na Ligi.... Usiulize tena maswali ya kipuuzi
 
Kwani mwanzo wa msimu huu Yanga alicheza Ngao ya Hisani na Simba kwa vigezo vipi? Ukilijibu hili tayari umefaulu.
 
Ngao ya jamii inachezwa kati ya mshindi wa kombe la shirikisho vs mshindi wa ligi kuu. Hivyo ikitokea yanga kachukua makombe yote, basi kwenye ngao ya jamiu atacheza tena na Coastal union kwavile ndiye aliyecheza nae fainali.
 
Daaah Shida ya Hii forum wajuaje Wengi. Mm nimeuliza swali,ningejibiwa Tu na sio kuanza kutukanwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Daa!! kweli wenzetu wa upande wa pili huko hamnazo kichwani.. yani hata hili nalo ni la kuuliza humu wakati lipo wazi kabisa..... manara aliona mbali sana....
 
Ngao ya jamii inachezwa kati ya mshindi wa kombe la shirikisho vs mshindi wa ligi kuu. Hivyo ikitokea yanga kachukua makombe yote, basi kwenye ngao ya jamiu atacheza tena na Coastal union kwavile ndiye aliyecheza nae fainali.
Thread closed..✍️
 
Yanga akichukua vikombe vyote, wawakilishi wa kimataifa watatoka kwenye Ligi kuu (Mshindi 1&2 = Club Bingwa, Mshindi 3&4 = Shirikisho)

Ngao ya jamii Yanga atacheza na Coast union
 
mwaka jana ulikuwa bado hujazaliwa??? simba alikuwa bingwa VPL na bingwa shirikisho la azamu alicheza na nani ngao ya hisani??? alicheza mwenyewe?? jinga wewe
 
Daaah Shida ya Hii forum wajuaje Wengi. Mm nimeuliza swali,ningejibiwa Tu na sio kuanza kutukanwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
swali la kijinga ujibiwe nini??? kawauliza wanao kama unao kama huna muulize mdogo wako atakujibu maana yeye anaweza akawa na akili kuliko wewe
 
Msimu wa mwaka juzi ilikuwa bingwa wa ligi(ambaye pia ni mshindi wa FA kwenye ngso ya jamii anacheza na aliyeshika nafasi ya pili kwenye FA(Rejes simba vs namungo). But kwa msimu wa mwaka jana walibadiloshs ambapo bingwa wa ligi anacheza na aliyeshika nafssi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa bingwa huyo atakuwa pia kachukua FA(rejea simba vs yanga). Hivyo mpaka sasa ni wazi kuwa yanga na simba watakutana tena kwenye ngao kama ikitokea yanga kuchukua na FA
 
Msimu uliopita Simba alicheza na nani fainali ya FA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…