Hapa, bado majibu yanachanganya. Kuna majibu mawili.
1: Simba alicheza na Yanga, kwa sababu Yanga alishika nafasi ya pili kwenye ligi kuu.
2: Simba alicheza na Yanga, kwa sababu Yanga alishika nafasi ya pili kwenye FA.
Sasa, jibu sahihi bado halijajulikana. Aliyeuliza swali, yupo sahihi. Wengi hawajui jibu sahihi, ingawa mwisho wa swali lake, aliweka utani!