bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
Badika sufuria yako ya maji ukitaka na ni vizuri.kwa wewe kukorogea uji usiwe mzito acha uchemke tu halafu weka unga endelea kusonga acha kidogo jikoni halafu ipua weka kwenye sahani tayari kwa kulaWakuu naombeni mnifundishe formula ya kupika ugali ,maana kila nikipika unakuwa mbichi
vipimo vikoje ratio ya unga na maji
mda wa kusubiri kwenye kila stage
NITASHUKURU
nimeshagundua makosa yangu huwa naweka unga mwingi kwa mkupuo pia nikiona ugali ni mlaini sana naongeza unga hata kama ni mwishoniKama unakorogea hakikisha uji unachemka vizuri
Usitie unga mwingi kwa pamoja, tia kidogokidogo huku unaupa nafasi ya kuchemka
Ukishaona ugali unaelekea kuiva usiongeze tena unga hata kama unaona ni mlaini sana
Muhimu kuliko yote hakikisha moto upo wa kutosha. Kama unapikia mkaa, usitangulie kupika kitu kingine halafu ndio upike ugali, kama utafanya hivyo ni lazima uongeze mkaa kwanza, ukipikia moto uliopungua nguvu ugali hauivi hata ufanyeje
poa poa
Ukiivisha kwa kufata maelekezo, utuwekee hapa tuonje tafadhali.
Laah hapo Mimi nachukua bakuli langu nachanganya mboga zote mbili kidogo kidogo hilo tofali lote nalipiga mwenyewe mwanawane, nikimaliza nasogea pembeni tu maana sitoweza kunyanyuka 😀😀
Ukiivisha kwa kufata maelekezo, utuwekee hapa tuonje tafadhali.
Aisee..!!Wakuu naombeni mnifundishe formula ya kupika ugali ,maana kila nikipika unakuwa mbichi
vipimo vikoje ratio ya unga na maji
mda wa kusubiri kwenye kila stage
NITASHUKURU