majogoro wika
Member
- Oct 19, 2017
- 5
- 0
Nina kiwanja nimenunua milion 4 na katika mauziano hayo tulifanya katika maandishi na pia tukaenda serikali ya mtaa tukajaza fomu inayoashiria mm ndo muhusika , sasa wakuu ikabidi nianze ujenzi mdogo mdogo kwa sababu nilikuwa na akiba nikaona nijivute mdogo mdogo nipo karibu na lenter mkwanja ukakata navyokwambia hadi leo ngoma bado tete!! mshahara 600000 nitapataje mkopo wa kumalizia nyumba kwa bei rahisi ...