Wakuu naombeni msaada juu ya ya kupata Mkopo

majogoro wika

Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Nina kiwanja nimenunua milion 4 na katika mauziano hayo tulifanya katika maandishi na pia tukaenda serikali ya mtaa tukajaza fomu inayoashiria mm ndo muhusika , sasa wakuu ikabidi nianze ujenzi mdogo mdogo kwa sababu nilikuwa na akiba nikaona nijivute mdogo mdogo nipo karibu na lenter mkwanja ukakata navyokwambia hadi leo ngoma bado tete!! mshahara 600000 nitapataje mkopo wa kumalizia nyumba kwa bei rahisi ...
 
Huo mkopo unao huitaji ,fanya ya fuatayo ''kaa na muajiri wako afanye unavyo taka, lakini pia kuna mashirika ya ki bank, ni vyema unge jitupia huko. Yawezekana ukaibuka na kitu cha kukusaidia, ila pia faham mikopo mara nyingi ni Bom la maangamizi pia unapaswa kulitambua hilo mapema,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…