Hili limekuwa linanitatuza sana yaani mda mwingi nakuwa natoa harufu mbaya hata nikienda choo kikubwa , kushindwa kwenda haja kubwa kwa kawaida mpaka kuladhimisha
wakuuu nipo hapa kuhitaji mawazo na ushauri wa kitaalamu yaani.
Procedures
Pata dawa ya minyoo
Fanya mazoezi ya tumbo kila siku
Kula matunda ya kutosha kila siku
Kunywa maji mengi sana muda wote
Chai yako iwe ya tangawizi daima
Kunywa maziwa at least mara 2 kwa siku
Punguza wanga mwingi na protein hasa nyama
Epuka mayai na kama utatumia lisizidi moja kwa siku
Mboga mboga iwe ndio mlo wako kupata fibres
Usipoona mabadiliko hadi hapo plz muone doctor.
Kuepuka kuchafukwa na tumbo mara kwa mara tumia juice ya ukwaju kila baada ya miezi 3 ila ukae karibu na choo maana utaharisha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.