Umri wako ni upi na jinsia yako ni ipi?
Kikohozi chako ni cha namna gani, kikavu au kina makohozi?..kama kina makohozi ni ya rangi gani?yana harufu? unapata shida katika kulala usiku sababu ya kukohoa(yaani kuanka ukiwa unakohoa)?
-Je hutokwa na jasho usiku hasa baada ya homa? mf. kulowa kwa mashuka/nguo za kulalia?
-Je wajisika kama kupungua /kulegea kwa nguo zako?
-Ulikwisha wapi kuwa na mtu (kuishi na mtu aliye na tatizo la kukohoa kwa muda mrefu)?
Kama alivyosema Nsalu pamoja na mengine ya kunywa maji,kucheck typhoid nk........nasisitiza angaliaUTI dalili zako zinanishawishi hivo na uitibu ipasavyo