Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 62
- 52
Hakuna la Sumbawanga moja kwa moja ila kuana Sajda ya Masasi-Mbeya nadhani ndio njia nyepesi.Habari zenu humu ndani
Ningependa kujua kama pale stendi ya masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga
Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
EhhGoogle tu mkuu utapata kila kitu unachohitaji.
Just Google route (basi) kutoka Masasi hadi Sumbawanga.
Hakuna route ya busHabari zenu humu ndani
Ningependa kujua kama pale stendi ya masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga
Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
Shukrni sana mkuuHakuna route ya bus
Ila route ni kama hii masasi--tunduru--songea---njombe----makambako----mbeya/tunduma----sumbawanga
Ova
Unaenda kufanya nn sumbawanga?Habari zenu humu ndani
Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga