Wakuu naombeni ushauri ninunue gari ipi kati ya hizi ,Toyota Rav4 new model au Vanguard

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,059
Reaction score
946
Nimejichanga mbali na vyuma kukaza nahitaji kutimiza ndoto yangu mwezi ujao ila bado nipo dilemma katika kufanya maamuzi maana gari zote hizi nazipenda ,Toyota Rav4 new model na Toyota vanguard
Hizi gari nimeziangalia kwa mda zote zinaonekana kuwa na sifa zinazofanana hasa katika upande wa Cc zote mostly ni 2360cc ,kwanga hii hainitishi najua upande wa mafuta itakuwa inatumia
Wakuu naomba kupata ushauri wenu juu ya upatikanaji wa vipuli na mengine mengi kuhusiana na hizi gari ili niweze kufanya uchaguzi sahihi, upande wa bajeti zote nazimudu baada ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…